Arati, Nassir wanamhadaa Raila kwamba ana nafasi ya kugombea urais 2027 – Taifa Leo

Written by on September 23, 2024

Kinara wa Azimio, Raila Odinga anayemezea mate uenyekiti AUC. PICHA|MAKTABA

PENDEKEZO la baadhi ya wanasiasa wa ODM kuwa kinara wao Raila Odinga awanie urais mnamo 2027 ni hadaa tu ili wamtumie kupata nyadhifa zao.

Kwa sasa juhudi zote zinastahili kuelekezwa kwa kampeni ya Bw Odinga kunasa uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), badala ya kushiriki siasa za 2027.

Mwishoni mwa wiki jana, Gavana Simba Arati wa Kisii na mwenzake wa Mombasa, Abdulswamad Sheriff . . .



Current track

Title

Artist