Arsenal yapewa asilimia kubwa kushinda Klabu Bingwa Ulaya kuliko Real Madrid – Taifa Leo

Written by on April 7, 2025

Declan Rice (kati) wa Arsenal asherehekea kufunga bao na Oleksandr Zinchenko (kulia) dhidi ya Dinamo Zagreb mechi ya UEFA uwanjani Emirates, Jumatano. PICHA | REUTERS

ARSENAL wana asilimia kubwa ya kushinda Klabu Bingwa Ulaya 2024-2025 kuliko mabingwa watetezi Real Madrid.

Ubashiri wa hivi punde wa kompyuta maalum ya Opta umejumuisha wanabunduki miongoni mwa timu zilizo na asilimia zaidi ya 10 ya kushinda mashindano hayo ya haiba.

Katika ubashiri wake, Opta imewapa viongozi wa Ligi Kuu ya Uhispania Barcelona uwezo mkubwa wa kutwaa ubingwa wakiwa na asilimia 23.1.

Mabingwa . . .



Current track

Title

Artist