Health/Eco News

Page: 2

Mwanamke mjamzito. Picha|Maktaba   KUNA baadhi ya wanawake ambao hushuhudia damu kuvuja wakiwa wajawazito, suala linalowatia wasiwasi. Ni kawaida kushuhudia hili hasa ikiwa damu hiyo ni matone tu. Kuna mambo kadha wa kadha ambayo husababisha hali hii. Kwa mfano, kuvuja damu ukiwa mjamzito, wakati ambapo mimba inajitundika kwenye ukuta wa uterasi.  Damu hii hutoka wiki […]

NI saa kumi na mbili unusu asubuhi katika kijiji cha Kitare, eneo la Seme, Kaunti ya Kisumu, ambapo Bi Rose Apondi, mhudumu wa afya wa kijamii (CHP), anajiandaa kwa siku nyingine kazini. Mkononi mwake amebeba simu yake—kifaa muhimu ambacho kwa miaka kadhaa sasa kimebadilisha jinsi anavyohudumia jamii yake. Bi Apondi anashughulikia masuala ya afya kwa […]

Nyama chemsha. Picha|Maktaba WATAALAMU wa masuala ya lishe sasa wanasema kuwa ulaji wa mara kwa mara wa nyama chemsha una maadhara ya kiafya. Wataalamu hao sasa wanasema kuwa nyama ya ng’ombe iliyochemshwa inayopendwa na wengi ina kiwango kikubwa cha mafuta. Joy Ouma, mtaalamu wa lishe aliyesajiliwa katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha Aga Khan, anasema […]

Mwanamume anayeugua hospitalini. Picha|Maktaba WANAUME wengi hapa nchini wanaaga dunia kutokana na virusi vya ukimwi na magonjwa yanayoandamana na virusi hivyo ikilinganishwa na wanawake. Takwimu kutoka Baraza la Kitaifa la Kudhibiti Magonjwa ya Kuambukizana (NSDCC) zinaonyesha kuwa zaidi ya watu milioni 1.38 wana ukimwi huku wanaume wakiwa ni asilimia 35 (487,710). Hii ni licha ya […]

Mwanaume akiwa na huzuni. PICHA| HISANI UTAFITI uliochapishwa kwenye Jarida ya Kisaikolojia na Masuala ya Jamii katika Chuo Kikuu cha Toronto, unasema kuwa wanawake ambao hawapo katika uhusiano wa kimapenzi huwa na furaha na hawaathiriki kisaikolojia ikilinganishwa na wanaume. Wanaume makapera huwa wamesononeka na hukabiliwa na changamoto kiasi kuwa wapo kwenye hatari ya kutatizika kisaikolojia.Utafiti […]

UN Secretary-General António Guterres addressing the High-Level Dialogue on Loss and Damage at COP29 in Baku, Azerbaijan. PHOTO/Screenshot. KEY HIGHLIGHTS Cut greenhouse gas emissions Protect people from extreme weather events Provide adequate climate finance to the poor nations Transition from fossil fuels to clean energy Parties adopted strong new standards for a centralised carbon market […]

UN Secretary-General António Guterres during a roundtable discussion at COP29 summit in Baku, PHOTO/UNFCCC/Kiara Worth. KEY HIGHLIGHTS UN chief calls for transparency, accountability and fairness in the energy transition Last year the amount invested in grids and renewables overtook the amount spent on fossil fuels. Mr Guterres said the energy transition from fossil fuels to renewable […]

UN Climate Change/INFOGRAPHIC/Habib Samadov KEY HIGHLIGHTS AT COP29 At what’s being called the ‘climate finance COP’, representatives from all countries are expected to establish a new global climate finance target. This target, or new collective quantified goal (NCQG), is seen as one of the summit’s main deliverables. It will replace the existing $100 billion goal that is […]

IKIWA kuna maamuzi asiyojutia, ni kuzamia kilimo cha matunda ya joka (dragon) ambayo hatimaye mwaka huu, 2024, yalimpa shime. Si mwingine, bali ni Dkt Monicah Waiganjo ambaye kando na kuwa mkulima, ni mtafiti aliyewahi kuhudumu katika Shirika la Utafiti wa Kilimo na Mifugo Kenya (Kalro). Ana uzoefu wa muda mrefu katika kilimo cha matunda, hususan […]

By PATRICK MAYOYO newshub@eyewitness.africa As COP29 kicked-off in Baku, Azerbaijan today, African climate change lobby groups outlined ambitious measures they want put in place to combat climate change and support vulnerable communities affected by its impacts across the continent. They urged African countries to develop adaptation centric Nationally Determined Contributions (NDCs) to ensure adaptation finance […]


Current track

Title

Artist