Health/Eco News

Page: 3

Kisa cha kwanza cha Mpox katika mpaka wa Taveta na Tanzania.Picha| Maktaba ULIMWENGU umemakinika zaidi kuhusu aina mpya ya virusi vya homa ya nyani (Monkey pox – Mpox) ambavyo vimezidi kusambaa Afrika na kupenya kwa mara ya kwanza Uropa baada ya kuripotiwa nchini Sweden. Wataalam wametaja aina mpya ya virusi vya mpox kama iliyo hatari […]

Ng’ombe akidungwa chanjo. PICHA|HISANI WAFUGAJI wanalalamikia kupanda kwa bei ya chanjo ya wanyama nchini. Huku wafugaji wakililia kuongezeka kwa gharama ya lishe ya mifugo, bei ghali inayoshuhudiwa ya chanjo inazidi kutia msumari moto kwenye kidonda kwani inapelekea wengi kushindwa kukabiliana na kudhibiti maradhi na minyoo kwa mifugo. Mmoja wa wafugaji wa kondoo, Kaunti ya Nakuru, […]

Mama mfugaji wa mbuzi katika Kaunti ya Laikipia akionyesha maziwa aliyokama. PICHA|RICHARD MAOSI NI mchana, jua limeangaza miale yake na kwenye ziara ya Akilimali katika eneo la Umande, Kaunti ya Laikipia tunakutana na Julia Muthoni akilisha mbuzi wake wa maziwa. Anasema zoezi la kuwakama humchukua takriban dakika 15 kila siku kabla ya kuzamia shughuli za […]

FRED Memusi, ambaye ni mkazi wa Narok, alilelewa katika familia ya ufugaji. Akiwa mzaliwa wa maeneo kame (ASAL), Memusi aliishia kufuata nyayo za wazazi na mababu zake. Kwa mantiki hiyo, kurithi kizazi hicho cha ufugaji kwa Bw Memusi lilikuwa jukumu rahisi ambalo ni sawa na kuutwaa mfumo wa maisha kutoka kizazi kimoja hadi kingine jinsi […]

Nairobi Funeral Home, awali City Mortuary. PICHA|MAKTABA WATU 30 waliokamatwa mnamo Jumatatu, Agosti 19, 2024 wakichafua jiji la Nairobi kwa kuenda haja ndogo barabarani wamepewa adhabu ya kutoa huduma kwa jamii, ikiwemo kusafisha chumba cha kuhifadhia maiti. Mahakama moja ya Nairobi, mnamo Jumanne, Agosti 20, 2024, iliamuru kuwa baadhi ya wachafuzi hao wakisafishe chumba cha […]

Flooding not only submerges properties and pollutes water but also endangers fauna. PHOTO/Denise Kyalwahi. By DENISE KAVIRA KYALWAHI and DR. GODE BOLA in Kinshasa, Democratic Republic of Congo (DRC). newshub@eyewitness.africa Living on the banks of the Ndj’ili River poses significant risks for many residents of Kinshasa city in the Democratic Republic of Congo (DRC), as […]

WATU mbalimbali hujipata wakikabiliwa na changamoto tofauti za meno, baadhi wakitaka kufunga mwanya waliozaliwa nao, wengine wakitatizwa na hali ya meno kumea kwa hali isiyokuwa ya kawaida. Baadhi yao huamua kutafuta ushauri na usaidizi kutoka kwa madaktari wa meno, huku teknolojia nayo ikiendelea kuvumbuliwa na kuhakikisha kuwa hali ya meno yao haiwanyimi tabasamu. Peris Mwangi […]

MAELFU ya wanabiashara sokoni Korogocho jijini Nairobi wamekuwa wakitupa uchafu kiholela katika mto wa Nairobi kwa miaka mingi. Utupaji taka huu mtoni umehusishwa na uchafuzi, visa vya juu vya magonjwa na uharibifu wa mazingira. Lakini haya yanabadilika baada ya kundi la vijana kugeuza uchafu wa soko kuwa mbolea, kuni na bidhaa nyingine kama vile sabuni […]

A South Sudanese internally displaced person points to the location where their house once stood before flooding that forced them to move to Algaroo Camp, in South Sudan. PHOTO/UNHCR. By PATRICK MAYOYO newshub@eyewitness.africa In 2019, Alessandro Rossi and Francesca Romano flew from Milan to Kenya, dreaming of a two-week romance at the luxurious Kipini Tana […]

MIAKA miwili iliyopita, Boniface Mwaka, 63, kutoka eneo la Ndithini, Kaunti ya Machakos, aliambiwa kwamba jicho lake la kulia lingepofuka, baada ya kugundulika kuugua ukungu wa macho, yaani cataracts. Kabla ya hapo, Bw Mwaka ambaye alistaafu kama mtumishi wa umma, asema kwamba kwa miaka kadhaa alikumbwa na changamoto ya kusoma bila kutumia miwani. “Tatizo la […]


Current track

Title

Artist