Health/Eco News
Page: 4
The renewable energy sector is expected to generate about 70% of these jobs, with approximately 1.7 million positions in solar power alone. PHOTO/FSD AFRICA By ENVIRONMENT CORRESPONDENT newshub@eyewitness.africa A new report suggests that a shift towards a greener economy could create millions of jobs in some of Africa‘s largest nations. According to research by FSD […]
Baadhi ya wazee wa Wajir Kusini wakijadiliana jinsi ya kukabili ukeketaji wa wanawake. Picha | Fridah Okachi IMEBIDI baadhi ya wazazi katika Kaunti ya Wajir watafute mbinu tofauti ili kuzuia tohara ya watoto wao wa kike, huku kina mama wakilaumiwa kwa kuendeleza desturi hii. Ili kukabili ukeketaji wa wasichana, wazazi hawa wanalazimika kuwaficha mabinti wao […]
Residents of Alapere, Lagos State, Nigeria, dispose waste on walkway near a canal blocked with plastic waste. PHOTO/ Collins O. Ojiehanor. By COLLINS ODIGIE OJIEHANOR in Lagos, Nigeria newshub@eyewitness.africa In the heart of Nigeria’s bustling economic hub, Lagos, an escalating crisis threatens the health and quality of life of its inhabitants. The city’s rapid urbanization […]
Chembechembe za ugonjwa wa saratani. PICHA| HISANI IDADI ya watu wanaougua saratani ya uume inaendelea kupanda kote ulimwenguni kutokana na utafiti na uchunguzi uliofanywa na wataalamu. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Sun Yat-Sen nchini China, wanaume ambao wanaugua kansa ya uume wanatarajiwa kupanda kwa asilimia 77 kwa muda wa […]
Maradhi ya ngozi katika unyayo wa mguu. PICHA | MAKTABA NA ANTHONY KITIMO UHABA wa maji katika Kaunti ya Kilifi unaendelea kusababisha maradhi ya ngozi kwa wakazi kama ilivyodhihirishwa katika kambi ya matibabu eneo la Ganze. Mamia ya wakazi wa Ganze walitambuliwa kuathirika na maradhi ya ngozi kutokana na ukosefu wa maji safi katika kambi […]
Mwanamitandao Francis Gaitho ambaye ‘alifananishwa’ na mwanahabari Macharia Gaitho na maafisa wa DCI. Picha|Richard Munguti MWANAMITANDAO aliyekuwa akisakwa na polisi waliomtia nguvuni kimakosa mwanahabari wa miaka mingi na mchangiaji makala katika Daily Nation, Macharia Gaitho, ameshtakiwa. Francis Ng’ang’a Gaitho alishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Robinson Ondieki kwa kuchapisha habari za uwongo na za kupotosha kuhusu […]
Madiwani wa Wiper wakiongozwa na Kiongozi wa Wengi katika Bunge la Kitui aliye pia Mwakilishi wa Wadi ya Kyuso, Bw Munyoki Mwinzi (katikati) walipomtaka Kalonzo aondoke Azimio. Picha|Wachira Mwangi KUNDI la Wawakilishi wa Bunge la Kaunti (MCAs) ya Kitui na Wanachama wa Wiper wamemtaka kiongozi wao, Kalonzo Musyoka, kujiondoa kwenye Muungano wa Azimio iwapo kiongozi […]
Gavana wa Kilifi Bw Gideon Mung’aro. Picha| Hisani ZIARA ya magavana sita wa Pwani nchini Italia imewavunia wawekezaji wa kimataifa ambao watakita kambi nchini Kenya mwezi ujao. Gavana wa Kilifi Bw Gideon Mung’aro, alisema ziara yao rasmi iliyoanza wiki iliyopita, tayari imesaidia kupiga jeki sekta ya uchumi wa baharini baada ya kukutana na wawekezaji na […]
Ajesh Shireta akiwa katika mahakama ya Milimani Nairobi aliposhtakiwa kumpiga na kumjeruhi dereva wa Uber Eliakim Ombati. Picha|Richard Munguti MFANYABIASHARA alishtua na kushangaza mahakama ya Milimani Jumatano alipovua jaketi kuonyesha jinsi shati yake ilivyoraruliwa na dereva wa Uber alipodai amlipe Sh7,000 badala ya Sh900. Ajeshi Shireta mwenye umri wa miaka 52 alihoji uadilifu wa polisi […]
Share this Facebook X LinkedIn Email WhatsApp Thursday, July 18th, 2024 BI TAIFA, JULIA MAUREEN Mgeni wetu ni Julia Maureen, 22. Anasomea kozi ya Utalii katika shule moja mjini Nakuru. Yeye hupenda kusafiri na kutazama filamu. BONIFACE MWANGI|TAIFA prev Source link