Health/Eco News
Page: 5
Kiongozi wa ODM Raila Odinga. PICHA| HISANI. KIONGOZI wa ODM Raila Odinga ameomba radhi kwa wanahabari na viongozi waliofukuzwa Jumatano na vijana katika hafla ya muungano huo jijini Nairobi. Kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka alikuwa miongoni mwa viongozi waliofukuzwa na vijana waliozua ghasia walipokuwa wakisoma maazimio ya muungano huo baada ya mkutano wa Kundi la […]
Hakimu Mkuu wa mahakama ya Mbita Nicodemus Moseti awaambia Jocinta Anyango na Denish Okinyi kuafikiana kuhusu mahali ambako mtoto wao atazikwa. Picha|George Odiwour FAMILIA ya mvulana mwenye umri wa miaka 12 aliyepigwa risasi na kuuawa wakati wa maandamano ya kupinga serikali, imeagizwa na mahakama kutafuta mbinu mbadala za kutatua mgogoro baina yao. Hakimu Mkuu wa […]
Gavana wa Meru Kawira Mwangaza ambaye madiwani wanapanga upya kumtimua. Picha|Dennis Onsongo GAVANA wa Meru, Kawira Mwangaza, huenda akaondolewa mamlakani katika jaribio la mara ya nne, madiwani mara hii wakimlaumu kwa makosa mawili ya matumizi mabaya ya ofisi na matumizi mabaya ya fedha za umma. Hoja ya kumtimua, ambayo inakuja wiki tatu kabla ya maadhimisho […]
Lillian Biwott aliyevalia barakoa akiwa katika mahakama kuu ya Eldoret manamo Julai 16 ambapo anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya mumewe Victor Kipchumba kwa kumpiga risasi 12. Bi Biwott aliambia korti kwamba alikuwa akiishi katika ndoa ya machungu na marehemu. PICHA| TITUS OMINDE. AFISA wa uchunguzi katika kesi ya mauaji inayomkabili afisa wa polisi wa […]
Mhubiri wa kanisa la Neno Evangelism, Bw James Ng’ang’a. PICHA HISANI| FACEBOOK. MHUBIRI wa kanisa la Neno Evangelism, Bw James Ng’ang’a kwa mara nyingine ametetea msimamo wake wa kuunga mkono maandamano ya vijana almaarufu Gen Z yanayolenga kuiwajibisha serikali. Wakati wa mahojiano, mchungaji huyo alifichua alipata msukumo kutoka kwa mkewe Gen Z, ambaye hufanya maandamano […]
Mawaziri wa zamani (kuanzia kushoto) Kipchumba Murkomen, Moses Kuria, Mithika Linturi na Aden Duale. Picha|Maktaba WENGI wa mawaziri ambao walitimuliwa na Rais William Ruto wiki jana sasa wameingia mitini, baadhi yao wakikwepa umma kabisa wakilenga kuanza maisha yao upya. Hadi wiki jana walipofutwa, mawaziri hao walikuwa wakifurahia mamlaka na manufaa yanayoandamana na kushikilia afisi hizo. […]
Wakazi wafika katika makazi ya Jaji Daniel Ogembo mjini Siaya. Jaji huyo alipatikana amefariki nyumbani kwake Jumatano. IDARA ya Mahakama ipata pigo tena baada ya kumpoteza jaji wa pili ndani ya wiki mbili. Marehemu Jaji Daniel Ogembo, alipatikana Jumatano, Julai 17, 2024 akiwa ameaga dunia katika makazi yake rasmi mjini Siaya. Alitarajiwa kuongoza kikao asubuhi […]
Wanahabari mjini Nakuru wafanya maandamano kulaani kupigwa risasi kwa mwenzao wa runinga ya K24, Catherine Wanjeri. Picha|Boniface Mwangi JUMATANO, Julai 24, 2024, itakuwa zamu ya wanahabari kujitokeza barabarani kote nchini kwa maandamano ya kupinga dhuluma wanazotendewa na polisi wakiwa kazini. Akitoa ilani kuhusu maandamano hayo, rais wa Chama cha Wahariri Nchini (KEG) Zubeida Kananu Jumatano alilaani […]
Makundi ya vijana wakiandamana Eldoret wakitaka Murkomen arudishwe kazini. Picha|Hisani POLISI mjini Eldoret mnamo Jumatano waliwatawanya mamia ya vijana waliokuwa wakiandamana kwenye barabara ya Eldoret-Kapsabet wakitaka Rais William Ruto awarejeshe kazini aliyekuwa Waziri wa Barabara na Uchukuzi Kipchumba Murkomen pamoja na waliokuwa Mawaziri wa Mambo ya Ndani na Ulinzi, Kithure Kindiki na Aden Duale mtawalia. […]
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma Renson Ingonga. Picha|Maktaba MKURUGENZI wa Mashtaka ya Umma (DPP) Renson Ingonga ametamatisha kesi ya ulaghai wa Sh520 milioni dhidi ya wakurugenzi wa hoteli maarufu Nairobi kwa jina Nyama Mama. Akiwasilisha ombi hilo kwa hakimu mwandamizi Wandia Nyamu, Bw Ingonga alisema kesi hiyo inatokana na mkopo uliopewa kampuni ya-The Good Earth […]