Health/Eco News

Page: 6

Kinara wa Azimio Kalonzo Musyoka. Picha|Maktaba KWA muda mrefu sasa, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amekuwa akichukuliwa kama mwanasiasa asiyekuwa na msimamo thabiti, hali ambayo imemgharimu kisiasa tangu 2007 alipowania urais kwa mara ya kwanza. Aidha, alisawiriwa kama mwanasiasa kigeugeu, ambaye leo anasema hivi na kesho anabadilika na kusema mengine tofauti kabisa. Kwa mfano, baada […]

Mwanahabari wa miaka mingi Macharia Gaitho katika hafla iliyopita. Picha|Maktaba MWANAHABARI wa miaka mingi  wa masuala ya  kisiasa Macharia Gaitho ametekwa nyara na watu wanaoaminiwa kuwa maafisa wa usalama akiwa katika kituo cha polisi cha Karen, Nairobi. Inasemekana mwanahabari huyo mzoefu alikuwa na mwanawe katika gari lake walipozuiwa na gari aina ya Subaru wakiondoka nyumbani. […]

Aliyekuwa Meya wa Kapenguria Christopher Lonyala. Picha|Oscar Kakai WAZEE kutoka jamii ya Pokot sasa wanataka jina ‘Pokot Magharibi’  kubadilishwa na kuitwa jina asilia.  Awali, wilaya ya Pokot Magharibi ilikuwa inaitwa, West West Suk ama Wilaya ya Kacheliba na ilikuwa katika mkoa wa Bonde la ufa, Kenya. Haya yanajiri baada ya tume ya uwiano na utangamano […]

Mfugaji akichunga mifugo wake Kaunti ya Isiolo. Picha|Maktaba MAJANGILI sasa wanarejelea Kaunti ya Meru kama ATM yao wakisema ni rahisi sana kuiba mifugo katika eneo hilo. Haya yanajiri huku wizi wa mifugo ukiongezeka kwenye mpaka wa Meru-Isiolo. Wakiwa na bunduki, majangili hao walivamia eneo la malisho la kaskazini lenye ukubwa wa kilomita 265 na kuiba […]

Waandamanaji wakiwa na jumbe mbali mbali dhidi ya serikali, Jumanne, Mombasa. Wenzao mjini Lamu wanataka pesa zilizotengwa tamasha la kitamaduni ziondolewe. Picha|Wachira Mwangi VIJANA wa kizazi cha Gen Z Lamu wametoa ilani ya siku saba kwa serikali ya kaunti hiyo kutimiza kwa lazima matakwa zaidi ya kumi yanayofungamana na matumizi ya fedha za umma. Gen […]

Nje, Mkahawa wa Java, Kimathi Street, Jijini Nairobi, Jumanne, Julai 16, 2024 wakati wa maandamano ya Gen Z. PICHA|SAMMY WAWERU HUKU maandamano ya Gen Z kupinga sera ‘dhalimu’ za serikali yakishika kasi maeneo tofauti nchini, Kaunti ya Nairobi imeshuhudia mchezo wa paka na panya kati ya vijana na maafisa wa polisi. Maandamano hayo ya Jumanne, […]

Kocha Gareth Southgate aliyejiuzulu kama mkufunzi wa timu ya taifa ya Uingereza kufuatia timu yake kuchabangwa na Uhispania katika failani ya Euro 2024. Picha|Maktaba LONDON, Uingereza BAADA ya kushindwa na Uhispania kwenye fainali ya Euro 2024, kocha Gareth Southgate wa timu ya taifa ya Uingereza ameamua kujiuzulu wadhifa wake. Timu hiyo maarufu kama The Three […]

Rais Paul Kagame wa Rwanda aliyeshinda kura ili kuendeleza utawala wake wa miaka 24. Picha|Reuters KIGALI, RWANDA RAIS Paul Kagame wa Rwanda ameshinda urais tena kwa muhula wa nne mfululizo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Rwanda mnamo Jumatatu. Wapigakura waliosajiliwa mwaka huu walikuwa milioni tisa huku katika kura milioni saba zilizokuwa zimehesabiwa, Rais Paul Kagame akipata […]

Mshukiwa wa mauaji Kware, Collins Jomaisu Khalisia alipokamatwa na polisi Jumatatu. Picha|Maktaba MSHUKIWA wa mauaji ya kutatanisha ambayo miili ilipatikana kwenye magunia katika timbo la kina kirefu eneo la Kware, Embakasi ameambia hakimu kwamba alipigwa ili akubali kutenda makosa hayo. Collins Jumaisu Khalisia aliambia hakimu Irene Gichobi wa Mahakama ya Makadara Jumanne, Julai 16, 2024 […]

Waandamanaji mjini Karatina, Nyeri, wakizua ghasia katika barabara kuu. Polisi walilazimika kuondoka ili kutafuta usaidizi. Picha|Stephen Munyiri KARATINA 3.50 PM MAMIA ya waandamanaji ‘wameteka’ mji wa Karatina, katika Kaunti ya Nyeri baada ya kuzidia nguvu maafisa wa polisi waliolazimika kuondoka. Makundi hayo ambayo yamezua ghasia yamefunga barabara kuu ya Karatina-Nairobi na kutatiza shughuli za uchukuzi […]


Current track

Title

Artist