Health/Eco News

Page: 7

Polisi mjini Eldoret wakimkamata mwandamanaji aliyekuwa amebeba bendera ya Kenya. Picha|Jared Nyataya POLISI waliojihami wamewasili haraka kulinda jengo la Liaison Office linalohusishwa na Seneta wa Uasin Gishu Jackson Mandago katika mtaa wa Elgon View, Eldoret kufuatia ripoti kwamba vijana walikuwa wanapanga kuivamia. Ripoti zinasema fununu zilienea kwamba kulikuwa na kundi la vijana wa Gen Z […]

Mwenyekiti Jumuiya ya Kaunti za Pwani (JKP) Gideon Mung’aro ambaye ameongoza magavana wenzake wa Pwani kwa ziara ughaibuni. Picha|Dennis Onsongo MAGAVANA sita wa Pwani wamesafiri Italia kusaka fedha za miradi ya maendeleo katika sekta ya Uchumi wa Baharini. Kupitia muungano wao wa Jumuiya ya Kaunti za Pwani (JKP), magavana hao, wakiongozwa na mwenyekiti wao Bw […]

Rais wa shirika lisilo la kiserikali la Ford Foundation Darren Walker katika mahojiano awali. Picha|Francis Nderitu SHIRIKA la kutoa misaada lenye makao yake makuu nchini Amerika, Ford Foundation, limekanusha madai yaliyotolewa na Rais William Ruto kwamba lilifadhili maandamano ya kupinga serikali ya Kenya. Katika taarifa rasmi, Shirika lisilo la Kiserikali (NGO) lilifafanua kuwa halifadhili shughuli […]

Chembechembe za virusi vya corona. PICHA|HISANI WATAALAMU wa afya wameonya kuhusu ongezeko la visa vya maambukizi ya ugonjwa wa Covid-19, usio hatari, mwezi huu, Julai, hadi Agosti 2024. Kulingana na Mshirikishi wa Mipango wa Kamati ya Ushauri kuhusu Covid-19 katika Muungano wa Kiuchumi wa Eneo la Ziwa (LREB) Profesa Shem Otoi Odhiambo, watu wamekuwa wakishindwa […]

Mwanamume kwenye jela. PICHA|HISANI MAHAKAMA ya Upeo imeamuru mbakaji aliyekuwa amepunguziwa kifungo akae jela miaka 20. Katika uamuzi wao, Jaji Mkuu Martha Koome na Majaji Mohammed Ibrahim, Smokin Wanjala, Njoki Ndung’u na Isaack Lenaola waliharamisha uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kupunguza kifungo dhidi ya Joshua Gichuki Mwangi hadi miaka 15. Jaji Koome na wenzake wanne […]

Kinara wa Azimio, Raila Odinga. PICHA|HISANI KIONGOZI wa Azimio la Umoja Raila Odinga anakabiliwa na kitendawili kigumu huku akitathmini mahusiano yake na serikali ya Rais William Ruto. Bw Odinga amejipata kwenye kikaangio moto baada ya kuunga mkono mazungumzo baina ya sekta mbalimbali yaliyoitishwa wiki iliyopita na Rais Ruto kama njia ya kutuliza joto la kisiasa […]

Mbegu za kiume. PICHA|HISANI WANAUME wasiokuwa na uwezo wa kuungisha mimba wanakumbwa na wasiwasi mwingi, utafiti umebaini. Asilimia 17.5 ya idadi ya watu wote ulimwenguni wanakumbwa na matatizo ya uzazi wanaume na wanawake wakiwa kwenye tapo hili. Shirika la Afya Duniani (WHO), linasema hali ya wanaume kushindwa kuzalisha huwafanya kupata matatizo ya kisaikolojia, uoga, msongo […]

UMOJA ni nguvu utengano ni udhaifu, hii ndiyo kauli ya muungano mmoja wa kina mama katika Kaunti ya Makueni ambao ushirikiano wao wa kujiendeleza kimaisha ulizalisha kampuni ya kukuza na kuchinja kuku. Global Organic Chicken Ltd, kampuni iliyoanza kukita mizizi zaidi ya miaka 10 iliyopita inashirikisha wakulima wanaofuga kuku halisi wa kienyeji na walioboreshwa. Simulizi […]

Samson Metiaki Sarinke, mlinzi wa usiku na mwanafunzi wa chuo kikuu, akiwa amesimama karibu na kituo chake cha kazi katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. PICHA|LABAAN SHABAAN NYAKATI za mchana, utamkuta Samson Metiaki Sarinke akiwa katika pilikapilika za kuhama ukumbi mmoja wa mhadhara hadi mwingine katika Chuo Kikuu cha Kenyatta (KU), Nairobi. Lakini jua likizama, mwanafunzi huyu wa kitivo […]

Ndimi za moto. PICHA|HISANI MALI ya mamilioni ya pesa jana iliharibiwa kutokana na moto mkubwa uliotokea katika Shule ya Upili ya Wavulana ya Karia, Kaunti ya Kirinyaga. Tukio hilo la Jumapili, Julai 14, 2024 usiku lilivuruga shughuli katika shule hiyo ambayo ipo kilomita chache kutoka mji wa Kerugoya. Moto huo uliteketeza bweni ambalo lilikuwa likisitiri […]


Current track

Title

Artist