Opinion
Page: 2
In recent years, influencers have taken the world by storm, amassing millions of followers and turning their online presence into lucrative careers. One of the most impressive feats of these digital celebrities is their ability to sell out large venues for live events. But how do they manage to accomplish this? 1. Authentic Connection with […]
Kiongozi wa ODM Raila Odinga akizungumza wakati wa mkutano na wanahabari Jumapili jijini Mombasa ambapo alitetea dili za Adani. Picha|Kevin Odit TABIA ya baadhi ya Wakenya, hasa waliopigia utawala wa Kenya Kwanza kura mnamo 2022, kumlaumu Raila Odinga kwa matatizo ya nchi haifai hata kidogo. Mnamo Jumapili kulikuwa na ‘moto’ mitandaoni baada ya Bw Odinga […]
In today’s rapidly evolving digital landscape, influencers have become a ubiquitous presence, their carefully curated lives and sponsored content dominating our social media feeds. However, the allure of influencer stardom is often fleeting, with many rising to prominence only to vanish into obscurity within a matter of months or even weeks. Why has the shelf […]
Rais William Ruto akiwa na naibu wake Rigathi Gachagua wakiamkua wananchi. Picha|Maktaba DHAMBI ambazo Naibu wa Rais Rigathi Gachagua anadaiwa kutenda na kusababisha wabunge kumng’oa afisini, hazina mashiko. Mambo anayodaiwa kufanya, yamekuwa yakifanywa na wanasiasa kwa miaka na mikaka bila kuchukuliwa hatua. Viongozi kupewa kandarasi na serikali, kufuja fedha za umma, kuchukua hongo kutoka kwa […]
In Kenya, election campaigns are often marked by extravagant spending, political patronage, and questionable sources of funding. This has long fueled the perception that public offices are accessible only to the wealthy or those backed by powerful individuals and corporations. For true democracy to thrive, Kenya must embrace a more transparent and equitable model for […]
Rais William Ruto katika hafla iliyopita. Picha|Maktaba SINA shaka kwamba, Rais William Ruto alifuatilia kwa makini matukio na hisia za Wakenya mnamo Ijumaa na Jumamosi wiki jana katika vikao vya kushirikishwa kwa maoni yao kuhusu hoja ya kumbandua naibu wake Rigathi Gachagua. Vile vile, ilivyo ada, Shirika la Kitaifa la Ujasusi (NIS) lilimpasha habari kuhusu […]
Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja. Picha|Maktaba ANAPOJIANDAA kufika katika Bunge la Kitaifa kuunga mashtaka ya kuondolewa ofisini kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja Arthur ana maswali kadhaa anayopaswa kujibu wakazi wa kaunti yake. Japo anamhusisha Bw Gachagua na madai ya kupinga mpango wake wa kuhamisha wafanyabiashara kutoka katikati ya jiji hadi […]
Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi ambaye amekuwa na mpango wa kuvunjilia mbali chama chake cha ANC na kujiunga na UDA. Picha|Maktaba NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua angekuwa na chama chake chenye ushawishi katika eneo la Mlima Kenya, leo asingeangikwa ‘msalabani’ na wandani wa Rais William Ruto. Masaibu yanayomwandama Bw Gachagua yanatokana na ukweli kwamba hana […]
Waziri wa Usalama wa Ndani Kithure Kindiki. Picha|Maktaba RAIS William Ruto anastahili kumpa unaibu rais mwanasiasa kutoka ngome za Kinara wa Upinzani Raila Odinga iwapo Naibu Rais Rigathi Gachagua atatimuliwa katika wadhifa huo. Hoja ya kumtimua Bw Gachagua inatarajiwa kuwasilishwa katika Bunge la Kitaifa wakati wowote kuanzia leo ambapo mchakato wa kumwondoa utaanza rasmi. Kuna […]
Refarii akitoa maamuzi katika moja ya mechi za humu nchini. Picha|Kevin Odit HATUUNGI mkono fujo za mashabiki uwanjani, lakini sharti uchunguzi wa kina ufanywe kubaini kinachosababisha visa hivyo vya uhuni kabla ya hatua mwafaka kuchukuliwa. Ni siku chache tu tokea adhabu itolewe ya Shabana kucheza mechi tano mfululizo za nyumbani bila mashabiki uwanjani kwa madai […]