Opinion

Page: 7

Kinara wa ODM Raila Odinga akiwasili kwa sherehe ya Madaraka Day, Juni Mosi, akiwa ameandamana na mkewe Mama Ida. Picha|Alex Odhiambo SIJUI aitwe Baba, waziri mkuu wa zamani ama kiongozi wa ODM. Napata taabu kidogo kujua jina linalomwafiki mwanasiasa nguli Raila Odinga. Baadhi ya wandani wake wanamuita msaliti kwa kukubali kufanya kazi na Serikali Jumuishi […]

Bendera ya Tanzania ikipepea kwenye jengo. Picha|Francis Nderitu AJABU ya shingo kukataa kulala kitandani! Usiwaamini Watanzania wanapokwambia kuwa hawajali wala kubali kwamba nchi yao imechafuka jina kwa kukiuka haki za kibinadamu. Wala usiwaamini wakitanua vifua na kudai hawaihitaji jamii ya kimataifa, eti mwonekano wao katika ngazi ya kimataifa si muhimu. Taifa hilo linaihitaji jamii ya […]

Rais wa Slovenia Nataša Pirc Musar akiamkuana na Rais William Ruto wakati wa Madaraka Day Juni mosi, Homa Bay. Picha|PCS Tangu 1963 Kenya ilipopata uhuru, ni watu wachache wanaofurahia manufaa ya kujitawala kiuchumi na kijamii na kufanya madaraka kupoteza maana yake halisi. Kwa zaidi ya miongo sita, madaraka halisi yako mikononi mwa kundi dogo la […]

Rais William Ruto katika hafla iliyopita. Picha|Maktaba OMBI la msamaha ambalo Rais William Ruto alielekeza Jumatano kwa Gen Z linastahili kuandamana na vitendo la sivyo litachukuliwa kama matamshi ya kawaida ya kisiasa ambayo yamewahi kutolewa awali kusaka umaarufu. Pia, wito wake wa umoja wa nchi uliolenga mirengo mbalimbali ya kisiasa unastahili kudhihirika katika uongozi wake. […]

Africa is already setting the pace, through innovation born out of necessity, creativity rooted in culture, and progress driven by community, writes Yi He, Co-Founder of Binance.  Innovation in Africa is tested daily against the pressures of currency instability, unreliable power, and low-trust systems. These are the conditions where bold ideas are stress-tested, and where […]

Mwanaharakati Boniface Mwangi aliyesema alipigwa vibaya na maafisa wa Suluhu. Picha|Kevin Odit KUFURUSHWA kwa wanaharakati wa Kenya nchini Tanzania kunatia doa juhudi za kujenga Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Kitendo hiki kinazua maswali mengi kuhusu misingi ya ushirikiano, uhuru wa watu wake, na haki za binadamu. Kwanza, hatua ya kuwafukuza wanaharakati inaonyesha ukosefu wa uvumilivu […]

African countries need to tap the power of the grid and every resource available to them in order to achieve what the West takes for granted every day. The big question, of course, is how do we get there? Who bears what burdens, and how? Africa deserves the chance to improve the quality of life […]

Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua alipozindua chama chake cha DCP. Picha|Reuters MFUMO wa vyama vingi vya kisiasa ulianzishwa mnano 1991. Tangu wakati huo, Kenya imepiga hatua kubwa sana kidemokrasia. Vyama vingi vimewawezesha wananchi kuwa na uhuru wa kushiriki katika siasa kwa kujiunga na vyama hivyo, kupiga kura na kushiriki katika mazungumzo ya kitaifa kuhusu masuala […]

Mfanyabiashara akihesabu pesa. Picha|Maktaba INASIKITISHA kuwa afisa wa hadhi ya Katibu katika Wizara ya Fedha Chris Kiptoo bado hajang’amua hisia za Wakenya kuhusu jinsi serikali inavyotumia pesa wanazolipa kama ushuru. Akijibu maswali kuhusu Bajeti na Mswada wa Fedha wa 2025, Jumanne asubuhi katika kipindi cha “Fixing The Nation” kwenye runing ya NTV, Dkt Kiptoo alionekana […]

Viongozi wa kisiasa akiwemo (kuanzia kulia): Mukhisa Kituyi, Fred Matiang’i, Kalonzo Musyoka, Martha Karua, Rigathi Gachagua, Eugene Wamalwa, Torome Saitoti, Justin Muturi na Mithika Linturi wapiga picha baada ya kukutana katika kile kinaaminika kuwa kusuka muungano. Picha|Hisani KATIKA siasa za Kenya, kugawanyika kwa upinzani si jambo geni, hasa ikizingatiwa uwezo wa rais aliye madarakani kutumia […]


Current track

Title

Artist