Sports
Page: 3
Wachezaji wa Strathmore Leos (jezi ya chungwa) wakimuandamana Payweek Munoko wa Menengai Oilers katika uga wa Nakuru Athletics Club mjini Nakuru awali Aprili. PICHA | FRANCIS MUREITHI MABINGWA watetezi Strathmore Leos watakuwa miongoni mwa vivutio vikuu wakati macho yote yakielekezwa kwa duru ya nne ya Ligi ya Kitaifa ya Raga ya wachezaji saba kila upande […]
Doris Lemngole akishiriki Diamond League mjini Lausanne, Uswisi, mnamo Jumatano. PICHA | REUTERS DORIS Lemngole kutoka Chuo Kikuu cha Alabama nchini Amerika alionja ushindi wake wa kwanza kabisa katika mashindano ya riadha za Diamond League baada ya kuponyoka na taji la mita 3,000 kuruka viunzi na maji duru ya Lausanne nchini Uswisi, Jumatano usiku. Lemngole, […]
Emmanuel Wanyonyi ashangilia kushinda 800m riadha za Diamond League duru ya London, Uingereza, mnamo Julai 19, 2025. PICHA | REUTERS DORIS Lemngole ana fursa nzuri ya kuonja ushindi wake wa kwanza kabisa kwenye riadha za Diamond League atakapotimka katika mbio za mita 3,000 kuruka viunzi na maji mjini Lausanne, Uswisi, Jumatano. Macho pia yatakuwa kwa […]
Wachezaji wa Harambee Stars wakisherehekea baada ya mechi yao ya CHAN dhidi ya Zambia ugani, Kasarani jana. PICHA|SILA KIPLAGAT HARAMBEE Stars Jumapili ilitinga robo fainali kwa kudata kileleni mwa Kundi A katika kipute cha Kombe la Afrika kwa wachezaji wanaoshiriki Ligi za Nyumbani (CHAN 2024) baada ya kuichapa Zambia 1-0 katika uga wa MISC Kasarani. […]
Dennis Kipkoech akabidhiwa hundi ya Sh10 milioni baada ya kushinda Sportpesa Midweek Jackpot. PICHA/HISANI MKULIMA Dennis Kipkoech, 60  alikuwa ameasi kilimo kutokana na changamoto za kifedha lakini sasa ameelekeza macho yake katika kurejelea ufugaji wa ngómbe wa maziwa baada ya kuangukia kitita cha Sportpesa. Hii ni baada ya kushinda Sh10 milioni kwenye Sportpesa Midweek Jackpot […]
Zayyan Virani akishiriki mashindano ya Nairobi Open I katika uga wa Nairobi Club mnamo Juni 2, 2025. PICHA | HISANI KWA mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitatu, mvulana kutoka Kenya atashiriki fainali ya mchezaji mmoja kila upande katika mashindano ya kiwango cha juu ya Shirikisho la Kimataifa la Tenisi (ITF) kwa wachezaji walio […]
Kocha Harambee Stars Benni McCarthy. PICHA|MAKTABA BAADA ya kutaja kikosi cha muda cha wachezaji 30 kwa Kombe la Afrika la wanasoka wanaoshiriki ligi za nyumbani (CHAN 2024), macho yote sasa yapo kwa maandalizi ambayo wenyeji Kenya wataweka ili kung’aa katika dimba hilo. Kenya, Uganda na Tanzania watakuwa wenyeji wa dimba hilo litakaloanza Agosti 2 hadi […]
Kocha Harambee Stars Benni McCarthy. PICHA|MAKTABA Kenya imeanza maandalizi ya Kombe la Afrika kwa wachezaji wanaoshiriki ligi za nyumbani (CHAN 2024) baada ya Kocha Benni McCarthy kutaja kikosi cha muda cha wanasoka 30 ambao wataingia kambini wiki hii. CHAN itaandaliwa na Kenya pamoja na majirani wake Tanzania na Uganda kutoka Agosti 2 hadi Agosti 30. […]
Aliyekuwa Kocha wa Gor Mahia Zedekiah ‘Zico’ Otieno ambaye alifutwa kazi Jumatano. PICHA|Gor Mahia GOR Mahia Jumatano ilivunja benchi yake ya kiufundi baada ya msimu mgumu. Klabu hiyo ilikosa kushinda taji lolote, hali inayomaanisha sasa itakosa Mashindano ya Afrika (CAF) kwa mara ya kwanza tangu 2016.Hatua hiyo ilichukuliwa baada ya Gor kupigwa mabao 2-1 Jumapili […]
Nahodha wa Nairobi United Isaac Ouma awaongoza wachezaji wenzake kuinua Kombe la Mozzart Bet katika uga wa Ulinzi Sports Complex. Walishinda Gor Mahia 2-1 PICHA|CHRIS OMOLLO Nairobi United Jumapili iliendelea kuangusha mibabe ikitwaa ubingwa wa Kombe la Mozzart Bet baada ya kuipiga Gor Mahia 2-1 kwenye mechi fainali. Fainali hiyo iligaragazwa katika uga wa Ulinzi […]