Sports
Page: 4
Uga wa Kasarani ulipokuwa ukikarabatiwa. PICHA|HISANI KENYA itafungua mechi za Kundi “A” za Kombe la Afrika kwa wachezaji wanaoshiriki ligi za nyumbani (CHAN 2024) dhidi ya mabingwa mara mbili Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Mechi hiyo itagaragazwa katika uwanja wa Kasarani ambao una uwezo wa kuwasitiri mashabiki 55,000 kuanzia saa tisa mchana. Kenya itakuwa […]
Afisa wa Polisi George Wasonga alipokabidhiwa Sh11 milioni kwa kushinda Sportpesa Midweek Jackpot. PICHA| HISANI Kutokana na uchumi mgumu unaoendelea kushuhudiwa nchini, wazazi wengi wamekuwa wakilemewa kumudu karo ya kuwasomesha watoto wao. George Wasonga, 57 afisa wa polisi amekuwa na kibarua kuwalipia watoto wake karo chuoni. Kama mzazi amekuwa akijituma sana kuhakikisha wanatimiza kiu chao […]
Uga wa Kitaifa wa Nyayo kwenye picha ya awali. Uwanja huo pia uliharibiwa wakati wa maandamano ya GEN Z. PICHA| SPORTS KENYA WAKATI ambapo Kenya inajizatiti kukamilisha miundomsingi yake kabla ya kipute cha Kombe la Afrika kwa wachezaji wanaoshiriki ligi za nyumbani (CHAN), bidii hiyo imerejeshwa nyuma baada ya uga wa Nyayo kuharibiwa. Maandamano ya […]
Uga wa Kasarani ulipokuwa ukikarabatiwa. PICHA|HISANI FAINALI ya Kombe la Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi ya nyumbani maarufuku kama CHAN itasakatwa Kenya. Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Jumanne lilitangaza kuwa fainali hiyo sasa itagaragazwa uga wa MISC Kasarani mnamo Agosti 30. Mechi ya kwanza na sherehe ya ufunguzi wa kipute hicho kinachoonza Agosti 2 hadi […]
Fowadi wa Kenya Police David Simiyu akiwania mpira na kipa wa Shabana Maxwel Mulili (kushoto) mnamo Juni 15, 2025 wakati wa mechi za Ligi Kuu (KPL). PICHA|CHRIS OMOLLO Kenya Police Jumapili waliandikisha historia kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu (KPL) baada ya kuwa ligini kwa misimu minne. Baada ya kupandishwa KPL mnamo 2021, Kenya Police […]
Kocha wa Nairobi United Nicholas Muyoti awali akiwa Nairobi City Stars. PICHA|HISANI Nairobi United itakuwa ikilenga kuandikisha historia kufika fainali ya Kombe la Mozzart Bet itakapovaana na Mara Sugar kwenye mechi ya nusu fainali itakayogaragazwa Jumapili uga wa Dandora, Nairobi. Timu hiyo ndiyo pekee isiyokuwa ya Ligi Kuu (KPL) ambayo imebakia kwenye kipute hicho ambacho […]
Timu ya taifa ya mpira wa pete ya wanawake ya Kenya maarufu kama Divas, yapiga picha ya pamoja baada ya kuwasili Dubai mnamo Juni 13, 2025. PICHA|HISANI. TIMU ya taifa ya mpira wa pete (netiboli) ya wanawake ya Kenya maarufu kama Divas, iliwasili Dubai siku ya Ijumaa kabla ya mechi yao ya ufunguzi dhidi ya […]
Wachezaji wa Gor Mahia na AFC Leopards wakiwania mpira kwenye Debi ya Mashemeji uga wa Raila Odinga Homa Bay. PICHA|GEORGE ODIWUOR KAIMU Kocha wa Gor Mahia Zedekiah ‘Zico’ Otieno Jumatatu aliwakashifu wachezaji wake kwa kuonyesha mchezo mbovu kipindi cha pili, hali iliyosababisha wapata sare ya 1-1 dhidi ya AFC Leopards kwenye Debi ya Mashemeji Kaunti […]
Mwanamuziki nyota kutoka Kenya Bien akiwaburudisha wapenzi wa soka wakati wa fainali ya UEFA iliyodhaminiwa na Mastercard uwanja wa Carnivore. PICHA| HISANI Mastercard Jumamosi usiku iliahidi kushirikiana na baadhi ya wanasoka bora Afrika na duniani kama njia ya kuhakikisha mashabiki wa soka Kenya wanatagusana na nguli wa mchezo huo. Meneja wa Ukanda wa Afrika Mashariki […]
Sara Mose apasha misuli moto katika kipindi cha mazoezi kwenye bwawa la kimataifa la Kasarani mjini Nairobi mnamo Mei 29, 2025. PICHA|GEOFFREY ANENE. SARA Mose, ambaye ni muogealaji wa pili kwa kasi nchini Kenya katika mbio za mita 50 mtindo wa Freestyle, alidhihirisha ubabe wake katika mbio hizo kwa kundi la wenye umri wa miaka […]