Sports
Page: 5
Victor Wanyama akichezea Harambee Stars mnamo 2021. PICHA|HISANI BAADA ya miaka minne nje ya Harambee Stars, kiungo Victor Wanyama amebadilisha uamuzi wake wa awali wa kustaafu kutoka timu ya taifa na atashiriki mechi mbili za kirafiki nayo mwezi ujao. Kenya inatarajiwa kucheza na Chad mnamo Juni 7 na Juni 10 kule Morocco. Kocha wa Harambee […]
Waziri wa Michezo Salim Mvurya (Kulia) akiwa na Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba mnamo May 27, 2025 katika afisi za wizara Talanta Plaza, Upper Hill Nairobi. PICHA| HISANI SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) Jumanne lilikosa kuweka wazi utayarifu wa Kenya kwa kabumbu ya Ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) hapo Agosti […]
Kiungo wa Gor Mahia Alpha Onyango (aliyelala chini) akizingirwa na wanasoka wa Murangá Seal akiwemo Michael Owen (jezi 8) wakati wa nusu fainali ya Mozzart Bet Cup ugani Dandora. Gor ilitinga fainali. PICHA| CHRIS OMOLLO GOR MAHIA JUMAPILI ilijiweka pazuri kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu (KPL) na Kombe la Mozzart Bet huku Kenya Police ikibanduliwa […]
Walgwe Tweri,11, kutoka Orca Swimming Club, ajiandaa kuruka majini kuogelea 100m Freestyle kwenye mashindano ya mbio fupi na ‘relays’ ya Chama cha Kuogelea cha Kaunti ya Kiambu (KCAA) mnamo Mei 24-25 katika shule ya Regis Runda mjini Kiambu hapo Mei 25, 2025. PICHA/HISANI KLABU ya kuogelea ya Orca iliibuka mshindi wa jumla katika mashindano ya […]
Alpha Onyango wa Gor Mahia asherehekea kufunga bao katika mechi mwaka jana. Alisaidia Gor kupepeta Bandari, mechi ya KPL . PICHA | CHRIS OMOLLO CHINI ya Kocha mshikilizi Zedekiah ‘Zico’ Otieno, Gor Mahia itakuwa inalenga kuendeleza juhudi za kutwaa Kombe la Mozzart Bet leo huku nafasi ya kushinda taji la Ligi Kuu (KPL) ikionekana kuendelea […]
Mchezaji wa Kenya Simbas, Andycole Omollo anakimbia kumpiku mchezaji wa UAE Aaron Dubois. Picha/CHRIS OMOLLO WANARAGA wa Kenya Simbas wamepata motisha kubwa kabla ya Kombe la Afrika 2025 la kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2027 baada ya Kenya Airways kuwapiga jeki ya Sh15 milioni Jumamosi, Mei 24, 2025. Ushirikiano kati ya Shirikisho la Raga Kenya […]
Tanzania Musa Shuza (left) and Henry Kasuja of Uganda face-off on May 23rd 2025 during weigh-inn a day before there eight Round Welter weight bout at Hill Park Hotel.Photo/CHRIS OMOLLO MABONDIA hodari kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo nchi jirani za Tanzania na Uganda ni miongoni mwa walioidhinishwa kushiriki kwenye mashindano ya masumbwi ya kulipwa Ijumaa (Mei, […]
Tanzania Musa Shuza (left) and Henry Kasuja of Uganda face-off on May 23rd 2025 during weigh-inn a day before there eight Round Welter weight bout at Hill Park Hotel.Photo/CHRIS OMOLLO MABONDIA hodari kutoka mataifa mbali mbali ikiwemo nchi jirani za Tanzania na Uganda ni miongoni walioidhinishwa kushiriki kwenye mashindano ya masumbwi ya kulipwa Ijumaa (Mei […]
Beki wa FC Talanta Leon Ombiji akiwania mpira na winga Eric Zakayo wakati wa mechi ya Ligi Kuu (KPL) katika uga wa Kenyatta Machakos mnamo Mei 18, 2025. PICHA|CHRIS OMOLLO KENYA Police Jumapili walikaribia kuandika historia ya kushinda taji la Ligi Kuu (KPL) baada ya kuwahi ushindi wa 1-0 dhidi ya FC Talanta kwenye uga […]
Winga wa Mathare United Musa Masika (aliyevalia jezi ya manjano) akiponyoka na mpira wakati wa mechi ya KPL dhidi ya Ulinzi. PICHA| MATHARE UNITED MATHARE United Jumamosi ilipiga Ulinzi Stars 1-0 kwenye uga wa Dandora na kujihakikishia nafasi ya kusalia kwenye Ligi Kuu (KPL) msimu ujao. Vijana wa Kocha John Kamau ambao walirejea KPL msimu […]