Sports
Page: 6
Mchezaji wa Kenya Simbas, Andycole Omollo anakimbia kumpiku mchezaji wa UAE Aaron Dubois. Picha/CHRIS OMOLLO WANARAGA wa Kenya Simbas wamepata motisha kubwa kabla ya Kombe la Afrika 2025 la kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2027 baada ya Kenya Airways kuwapiga jeki ya Sh15 milioni Jumamosi, Mei 24, 2025. Ushirikiano kati ya Shirikisho la Raga Kenya […]
Tanzania Musa Shuza (left) and Henry Kasuja of Uganda face-off on May 23rd 2025 during weigh-inn a day before there eight Round Welter weight bout at Hill Park Hotel.Photo/CHRIS OMOLLO MABONDIA hodari kutoka mataifa mbalimbali ikiwemo nchi jirani za Tanzania na Uganda ni miongoni mwa walioidhinishwa kushiriki kwenye mashindano ya masumbwi ya kulipwa Ijumaa (Mei, […]
Tanzania Musa Shuza (left) and Henry Kasuja of Uganda face-off on May 23rd 2025 during weigh-inn a day before there eight Round Welter weight bout at Hill Park Hotel.Photo/CHRIS OMOLLO MABONDIA hodari kutoka mataifa mbali mbali ikiwemo nchi jirani za Tanzania na Uganda ni miongoni walioidhinishwa kushiriki kwenye mashindano ya masumbwi ya kulipwa Ijumaa (Mei […]
Beki wa FC Talanta Leon Ombiji akiwania mpira na winga Eric Zakayo wakati wa mechi ya Ligi Kuu (KPL) katika uga wa Kenyatta Machakos mnamo Mei 18, 2025. PICHA|CHRIS OMOLLO KENYA Police Jumapili walikaribia kuandika historia ya kushinda taji la Ligi Kuu (KPL) baada ya kuwahi ushindi wa 1-0 dhidi ya FC Talanta kwenye uga […]
Winga wa Mathare United Musa Masika (aliyevalia jezi ya manjano) akiponyoka na mpira wakati wa mechi ya KPL dhidi ya Ulinzi. PICHA| MATHARE UNITED MATHARE United Jumamosi ilipiga Ulinzi Stars 1-0 kwenye uga wa Dandora na kujihakikishia nafasi ya kusalia kwenye Ligi Kuu (KPL) msimu ujao. Vijana wa Kocha John Kamau ambao walirejea KPL msimu […]
Mchezaji wa Tenisi Seline Ahoya akishiriki mechi awali. Alibanduliwa katika nusu-fainali ya tenisi ya J30 Nairobi/Extreme Parklands Junior Circuit I PICHA|HISANI MCHEZAJI pekee wa Kenya aliyesalia katika kitengo cha wasichana cha mchezaji mmoja kila upande, Seline Ahoya, amebanduliwa katika nusu-fainali ya tenisi ya J30 Nairobi/Extreme Parklands Junior Circuit I baada ya kupoteza kwa mchezaji wa […]
Wachezaji wa Gor kuanzia kushoti Benson Omala, Austin Odhiambo, Joshua Onyango na Sylvester Owino (kulia) wakisherehekea bao katika mechi ya KPL. PICHA|HISANI GOR MAHIA Alhamisi ilipata pigo kwenye juhudi zake za kutetea taji la Ligi Kuu (KPL) baada ya kutandikwa 2-1 na Nairobi City Stars waliokuwa wakivuta mkia kwenye uga wa Dandora Nairobi. Kwenye mechi […]
Wanafunzi wa Light Groups of Schools wakati wa mashindano ya mchezo wa Vikapu Shule ya Kimataifa ya Crawford. PICHA|FRIDAH OKACHI WANAFUNZI kutoka  Light Group of Schools (LGS) walionyesha talanta ya juu katika mashindano ya mpira wa vikapu yaliyoandaliwa Shule ya Kimataifa ya Crawford. Ilikuwa dhahiri kuwa kipaji chao kikipaliliwa, basi huenda wakaibuka na kuwa wachezaji […]
Mkenya Nehemiah Kipyegon asherehekea kushinda Munich Marathon nchini Ujerumani mnamo Oktoba 13, 2024. Kipyegon amepigwa marufuku miaka mitatu mnamo Mei 15, 2025 kwa matumizi ya dawa za kusisimua misuli. PICHA/HISANI NEHEMIAHÂ Kipyegon atakuwa shabiki wa riadha baada ya kupigwa marufuku miaka mitatu na Kitengo cha Maadili cha Shirikisho la Riadha Duniani (AIU) kwa kututumua misuli. […]
Emmanuel Osoro (FC Talanta) akiwania mpira na beki wa Tusker Alex Onchwari wakati wa mechi ya KPL ugani Dandora PICHA|CHRIS OMOLLO KASI ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu (KPL) inaingia hatua muhimu Jumatano na Alhamisi katika mkumbo wa 31 huku Kenya Police, Tusker na Gor Mahia wote wakipambana kwa jino na ukucha kusaka ushindi. Kenya […]