Gen Z mmenipa matumaini kuhusu taifa letu, asema rapa Khaligraph Jones – Taifa Leo

Written by on July 4, 2024

Msanii Khaligraph Jones. Picha|Maktaba

RAPA Khaligraph Jones kadai kwamba, alikuwa amekwisha kata tamaa ya kimaisha ila Gen Z wamempa matumaini makubwa sana.

Maandamano ambayo yamekuwa yakiendeshwa na kusukumwa na vijana Gen Z kupinga uongozi mbaya na kupanda kwa gharama ya maisha, yameishia kuzaa matunda huku serikali ikionekana kuwa makini kubadilisha utendaji wake.

Ni hatua hizi ndizo zimeweza kumrejeshea rapa Jones matumaini ya kubadilika kwa maisha Kenya.

“Maandamano yamekuwepo toka zamani dhidi ya utawala dhalimu na gharama za maisha, ila wamekuja . . .



Current track

Title

Artist