Gen Z wana haki ya kudai utawala bora – Taifa Leo

Written by on May 6, 2025

Vijana waandamana kupinga Mswada wa Fedha 2024. Picha|Maktaba

HIVI maafa yakitokea nchini Kenya, ni sawa kwetu Wakenya kujiliwaza kwa kusema kuwa haidhuru kwa maana maafa yanatokea katika mataifa mengine pia?

Ni sawa kukubali kwamba kufa kwa wengi harusi, yaani tujiweke katika mazingira ya kufa kwa kuwa wengine wanakufa? Huo ni mtizamo wa aina gani katika karne hii?

Wakati mmoja Rais wa Amerika, Donald Trump, labda baada ya kuchoshwa na lawama kwamba ni mbaguzi wa rangi, alijaribu kujitetea: “Mimi si mbaguzi wa rangi pekee, kuna wengine wabaya zaidi.”

Tamko . . .



Current track

Title

Artist