Gor yanyanyaswa na wanyonge FC Talanta Dandora – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 24, 2025
Mshambulizi wa Gor Benson Omala akipambania mpira na Chris Opondo wa FC Talanta (jezi nyeupe) katika mechi ya Ligi Kuu (KPL) ugani Dandora mnamo Alhamisi| PICHA| Gor Mahia
MBIO za Gor Mahia za kupigania ubingwa wa Ligi Kuu (KPL) msimu wa 2024/25 Alhamisi zilipata pigo baada ya kutandikwa 1-0 na FC Talanta katika uga wa Dandora, Nairobi.
Bao la pekee lilifungwa na Emmanuel Osoro katika kipindi cha kwanza baada ya kuwahi shuti kali ndani ya kijisanduku kutoka kwa Cliff Oruko. FC Talanta waliongozwa kwenye mechi hiyo na naibu kocha Jackson Gatheru . . .