Gor yatinga fainali, Police wakiuma nje Kombe la Mozzart Bet – Taifa Leo

Written by on May 25, 2025

Kiungo wa Gor Mahia Alpha Onyango (aliyelala chini) akizingirwa na wanasoka wa Murangá Seal akiwemo Michael Owen (jezi 8) wakati wa nusu fainali ya Mozzart Bet Cup ugani Dandora. Gor ilitinga fainali. PICHA| CHRIS OMOLLO

GOR MAHIA  JUMAPILI ilijiweka pazuri kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu (KPL) na  Kombe la Mozzart Bet huku Kenya Police ikibanduliwa kwenye mechi zilizochezwa uga wa Dandora, Nairobi.

K’Ogalo ilitinga fainali ya Mozzart Bet Cup baada ya kushinda Murangá Seal 5-4 kupitia mikwaju ya penalti. Hii ni baada ya timu hizo kuagana sare ya 2-2 katika . . .



Current track

Title

Artist