Guu niponye kwa Gor, Police, na Tusker KPL ikiyoyoma – Taifa Leo

Written by on May 14, 2025

Emmanuel Osoro (FC Talanta) akiwania mpira na beki wa Tusker Alex Onchwari wakati wa mechi ya KPL ugani Dandora PICHA|CHRIS OMOLLO

KASI ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu (KPL) inaingia hatua muhimu Jumatano na Alhamisi katika mkumbo wa 31 huku Kenya Police, Tusker na Gor Mahia wote wakipambana kwa jino na ukucha kusaka ushindi.

Kenya Police wanaoshikilia uongozi kwa mwanya wa alama tatu, zikiwa zimesalia mechi nne msimu uishe, wako pazuri kuwahi ubingwa iwapo watapata ushindi leo katika mechi zao zilizosalia.

Police wana alama . . .



Current track

Title

Artist