Harambee Stars washuka viwango bora vya FIFA – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 4, 2025
Wachezaji wa Harambee Stars (jezi nyukundu) wakitoana kijasho na timu ya Gambia. PICHA|HISANI
TIMU ya taifa ya soka ya wanaume ya Kenya maarufu kama Harambee Stars, imeshuka kwenye viwango bora vipya vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) mnamo Ijumaa, Aprili 4, 2025.
Vijana wa kocha Benni McCarthy wametupwa chini kutoka 108 duniani (Desemba 19, 2024) hadi 111 baada ya kutoka 3-3 na Gambia (Machi 20) na kupoteza 2-1 mikononi mwa Gabon (Machi 23) kwenye mechi za kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2026 za Kundi F.
Cote d’Ivoire . . .