Huyu ndiye Gaitho tuliyekusudia kunasa tulipomshika kimakosa mwanahabari Macharia Gaitho – Taifa Leo

Written by on July 18, 2024

Mwanamitandao Francis Gaitho ambaye 'alifananishwa' na mwanahabari Macharia Gaitho na maafisa wa DCI. Picha|Richard Munguti

MWANAMITANDAO aliyekuwa akisakwa na polisi waliomtia nguvuni kimakosa mwanahabari wa miaka mingi na mchangiaji makala katika Daily Nation, Macharia Gaitho, ameshtakiwa.

Francis Ng’ang’a Gaitho alishtakiwa mbele ya hakimu mwandamizi Robinson Ondieki kwa kuchapisha habari za uwongo na za kupotosha kuhusu jina la mshukiwa mkuu katika mauaji ya wanawake eneo la Kware, Embakasi.

Na wakati huo huo, mfanyabiashara Alinur Mohamed Bulle alishtakiwa kujifanya Msemaji wa Ikulu.

Gaitho anayewakilishwa na wakili . . .



Current track

Title

Artist