Ingwe hatimaye yapata ushindi, Police, Shabana zikiwika KPL – Taifa Leo

Written by on April 26, 2025

Christopher Koloti (kulia) akisherehekea bao lake dhidi ya Bidco United ugani Dandora. PICHA|AFC Leopards

AFC LEOPARDS  Jumamosi ilisitisha rekodi duni ya kutopata ushindi kwenye mechi sita zilizopita huku Kenya Police ikirejea kileleni mwa Ligi Kuu (KPL) kupitia ushindi wa 2-1 dhidi ya KCB ugani Sportpesa Arena, Kaunti ya Murangá.  

Ingwe ilinyorosha Bidco United 3-1 katika uga huo huo wa Dandora mechi ambayo ilianza saa 10 jioni.

Shabana nao waliendelea kukwea jedwali la KPL, wakifunga Nairobi City Stars 2-0 uwanja wa Kenyatta, Kaunti ya Machakos.

Kwenye . . .



Current track

Title

Artist