Jumbe za pesa husaidia wanaume wanene kupunguza uzani wa mwili – Taifa Leo

Written by on May 20, 2024

Jumbe za pesa husaidia wanaume wanene kupunguza uzani wa mwili

NA CECIL ODONGO

MAZOEZI yamekuwa yakifahamika kama suluhu kwa wanaume ambao ni wanene kupita kiasi na walio na mafuta mengi mwilini.

Katika kile ambacho kitawafurahisha wengi, utafiti umebaini kuwa wanaume wanene wakitumiwa pesa ili kupunguza uzani, wanafanikiwa kupunguza kilo hizo.

Utafiti uliochapishwa kwenye jarida la JAMA Network Uingereza umebaini kuwa wanaume wenye unene kupita kiasi hupunguza kilo, wakilipwa kwa kutumiwa pesa kwenye simu zao mara kwa mara.

Lengo la . . .Current track

Title

Artist