‘Juogi’ yakosa kusaidia Gor Debi ya Mashemeji ikitoka sare Homa Bay – Taifa Leo

Written by on June 2, 2025

Wachezaji wa Gor Mahia na AFC Leopards wakiwania mpira kwenye Debi ya Mashemeji uga wa Raila Odinga Homa Bay. PICHA|GEORGE ODIWUOR

KAIMU Kocha wa Gor Mahia Zedekiah ‘Zico’ Otieno Jumatatu  aliwakashifu wachezaji wake kwa kuonyesha mchezo mbovu kipindi cha pili, hali iliyosababisha wapata sare ya 1-1 dhidi ya AFC Leopards kwenye Debi ya Mashemeji Kaunti ya Homa Bay.

Debi hiyo ya 97 ilichezwa kwenye uga wa Raila Odinga na kuhudhuriwa na Kinara wa Upinzani Raila Odinga, Gavana wa Homa Bay Gladys Wanga, Naibu Mkuu wa Wafanyakazi katika afisi ya Rais, Eliud . . .



Current track

Title

Artist