Kenya imepiga hatua maandalizi ya CHAN – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on May 27, 2025
Waziri wa Michezo Salim Mvurya (Kulia) akiwa na Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba mnamo May 27, 2025 katika afisi za wizara Talanta Plaza, Upper Hill Nairobi. PICHA| HISANI
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) Jumanne lilikosa kuweka wazi utayarifu wa Kenya kwa kabumbu ya Ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wa Ndani (CHAN 2024) hapo Agosti mwaka huu.
Wakati wa kutembelea viwanja vilivyotengewa mashindano hayo, Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba alisema Kenya imepiga hatua ya maana kwenye maandalizi yake.
Hata hivyo, taifa hili . . .