Kenya isiingilie mizozo ya majirani – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 4, 2025
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir na mwenzake wa Kenya, William Ruto. PICHA|HISANI
AMA Kenya ina watunga-sera hafifu wa mashauri ya kigeni, wataalamu wa mawasiliano wasiotosha mboga, au viongozi wa ngazi ya juu zaidi ambao kamwe hawafuati ushauri wa wataalamu wa diplomasia.
Nimeishia kushuku hivyo baada ya kuona jinsi, katika muda mfupi tu, taifa letu linavyoendelea kujikwaa linaposhughulikia masuala ya kimataifa, hasa Barani Afrika.
Unaposoma makala hii, Kenya inalaumiwa kwa kuingilia masuala ya ndani kwa ndani ya mataifa kadha Barani Afrika: Sudan Kusini, Sudan, Ethiopia, Morocco, na Jamhuri ya . . .