Kenya Lionesses waanza Krakow Challenger Series kwa kurarua Ubelgiji – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 11, 2025
Sinaida Nyachio atimka na mpira wakati Kenya ilipepeta Uganda 10–5 katika mechi ya makundi ya Cape Town 2 nchini Afrika Kusini mnamo Machi 7, 2025. Nyachio amefungia Kenya ikirarua Ubelgiji mjini Krakow, Poland. PICHA|WORLD RUGBY
KENYA Lionesses wameanza vyema duru ya mwisho ya msimu wa kawaida ya raga za saba kila upande za Challenger Series baada ya kurarua Ubelgiji 12-0 mjini Krakow nchini Poland mnamo Ijumaa, Aprili 11, 2025.
Sinaida Nyachio alifungia Kenya alama zake zote katika mechi hiyo ya Kundi A.
Nyachio alitinga mguso wa kwanza chini . . .