Kipyegon anaswa kwa kutumia dawa za kusisimua misuli – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on May 15, 2025
Mkenya Nehemiah Kipyegon asherehekea kushinda Munich Marathon nchini Ujerumani mnamo Oktoba 13, 2024. Kipyegon amepigwa marufuku miaka mitatu mnamo Mei 15, 2025 kwa matumizi ya dawa za kusisimua misuli. PICHA/HISANI
NEHEMIAH Kipyegon atakuwa shabiki wa riadha baada ya kupigwa marufuku miaka mitatu na Kitengo cha Maadili cha Shirikisho la Riadha Duniani (AIU) kwa kututumua misuli.
Katika taarifa kwa vyombo vya habari Alhamisi, AIU imesema kuwa Kipyegon alipatikana na kosa la kutumia dawa ya aina ya Trimetazidine ambayo iko katika orodha ya dawa Shirika la Kukabiliana na Matumizi ya Pufya Duniani (WADA) limekataza . . .