Kushiriki ngono mara kwa mara kunaimarisha afya – Taifa Leo

Written by on March 21, 2025

Wapenzi wakikumbatiana na kupeana mabusu. PICHA|HISANI

KUSHIRIKI mapenzi mara kwa mara huwa na manufaa tele sio tu ya kimwili, bali pia kisaikolojia, wataalamu wamebaini.

Utafiti huu sasa unashaajisha wapenzi au wanandoa wawe wakishiriki ngono mara kwa mara iwapo wanataka kuishi maisha ya furaha.

Matokeo hayo yanapiga jeki tafiti za awali zilizonyesha kuwa kukosa kushiriki mahaba kwa kipindi kirefu kunaibua wasiwasi, msongo wa mawazo na unyogovu.

Mtaalamu wa masuala ya afya ya uzazi pamoja na akili Dkt Sham Singh anaonya dhidi ya kukaidi hisia zinapochipuka na kukanyagia ngono.



Current track

Title

Artist