Lazima tupige Leopards debi ya Mashemeji Jumapili – Taifa Leo

Written by on March 28, 2025

Kocha mpya wa Gor Mahia Sinisa Mihic akiringisha jezi yake mnamo Februari 3, 2025. Picha|Hisani

KOCHA wa Gor Mahia Sinisa Mihic amewataka mashabiki wa timu hiyo wajazane katika uga wa kitaifa wa Nyayo huku akiahidi kuwa wanatarajia kupata ushindi mkubwa kwenye Debi ya Mashemeji wikendi hii dhidi ya AFC  Leopards.

Mchuano huo wa Ligi Kuu (KPL) unaohusudiwa na wengi, utachezwa katika uga wa Nyayo wenye uwezo wa kuwasitiri mashabiki 20,000. Mtanange wenyewe utaanza saa tisa mchana na timu zote zimekuwa zikishiriki mazoezi makali kuelekea mchuano huo.

Hii itakuwa debi . . .



Current track

Title

Artist