Mashahidi wadai Mackenzie aliwahadaa kwa ardhi za Sh3,000 – Taifa Leo

Written by on July 10, 2024

Mhubiri tatanishi Paul Mackenzie anayehusishwa na mauaji ya zaidi ya watu 400 msitu wa Shakahola. Picha|

MASHAHIDI katika kesi ya mauaji ya Shakahola dhidi ya mhubiri mwenye utata Paul Mackenzie na washukiwa wenzake 93 wamesimulia jinsi alivyowahadaa kwa kuwauzia ardhi bei rahisi na baadaye kugundua kuwa alikuwa akianzisha ‘ufalme’ wa kikatili.

Katika kesi ya mashtaka yanayohusiana na ugaidi iliyoanza Jumatatu, mashahidi ambao utambulisho wao unalindwa na serikali waliieleza mahakama kuwa, washtakiwa walikuwa kama shirika la uhalifu lililojipanga vyema kupitia kwa kanisa chini ya . . .



Current track

Title

Artist