Mbona Wakenya wanaoishi ughaibuni wanachukiwa? – Taifa Leo

Written by on March 31, 2025

Ubaguzi wa kirangi. PICHA|HISANI

JARIBIO la mtu fulani kumshinikiza Rais wa Amerika, Donald Trump, amfukuze Gavana wa Nakuru, Susan Kihika, si la kuchekesha tu bali pia linafichua mambo kadha.

Sharti niseme kwamba hilo si suala la jinsia, kwa hivyo wabunge wa kike waliolitwaa na kulifanyia kikao na wanahabari walilipunguzia umuhimu, likakaa kama masuala mengine mengi ambayo huchochea wanawake na wanaume kuhasimiana.

Kila wakati suala lolote likichukua mkondo wa jinsia hushuka hadhi kwa kuwa kuna watu wengi ambao hushughulikia mada kwa uzito wake, wala hawapendi kugawanywa kwa mafungu ya wake kwa . . .



Current track

Title

Artist