McCarthy imani tele Harambee Stars itafuzu Kombe la Dunia – Taifa Leo

Written by on March 21, 2025

Mshambulizi wa Harambee Stars akisherehekea bao lake dhidi ya Gambia na beki Eric 'Marcelo' Ouma

KOCHA wa Harambee Stars Benni McCarthy anaamini kikosi chake bado kina nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 baada ya kupambana vikali na kutoka sare ya 3-3 dhidi ya Gambia mnamo Alhamisi usiku kule Cote d’Ivoire.

Stars Jumapili hii itakuwa na kibarua kingine, ikivaana na Gabon katika uga wa kitaifa wa Nyayo. Itakuwa mara ya kwanza ambapo Kenya itakuwa ikicheza nyumbani baada ya kuwajibikia mechi za awali za kufuzu Kombe la Afrika nje ya nchi.



Current track

Title

Artist