Menyu mpya ya vyakula vilivyotokana na wadudu yazinduliwa kusaidia kukabili njaa – Taifa Leo

Written by on April 17, 2025

Rojo ya nyenje (cricket), nyenje zilizokaushwa kwa mafuta na kaukau zilizotumbukizwa kwenye unga wa nyenje. Picha|Hisani

TAASISI ya kimataifa ya utafiti wa wadudu na ikolojia ICIPE, muungano wa kimataifa wa viumbe-hai pamoja na kituo cha kimataifa cha kilimo cha kitropiki CIAT, juma lililopita walishirikiana kuandaa hafla ya maonyesho ya vyakula vya kipekee vinavyotokana na mazao maalum ya shambani, vilevile wadudu.

Hafla hiyo ya maankuli kwa jina “Biodiversity Bites: A Culinary Journey into Agricultural Research in Africa” iliandaliwa ili kuangazia mbinu bunifu za kukabiliana na changamoto ya uhaba wa chakula . . .



Current track

Title

Artist