Mipango yote ya kura ya Gor imekamilishwa – Taifa Leo

Written by on April 11, 2025

Mashabiki wa klabu ya Gor Mahia wakati wa mechi yao ya Ligi ya Shirikisho la Soka Kenya (Mashemeji Derby) katika uwanja wa Taifa wa Nyayo mnamo Machi 30, 2025. Picha|Sila Kiplagat

MWENYEKITI wa Bodi ya Uchaguzi wa Gor Mahia Gichu Wahome Ijumaa, Aprili 11, 2025 alisema kuwa mipango yote imekamilishwa kuelekea kura ya klabu itakayoandaliwa uwanja wa Nyayo mnamo Jumapili.

Hii ni baada ya Jopo la Kutatua Mizozo ya Michezo (SDT) kuamrisha kuwa wawaniaji ambao walikuwa wamefungiwa nje waruhusiwe kuwania kura hiyo.

Waliofungiwa nje ni Mwekahazina wa sasa Dolphina Odhiambo . . .



Current track

Title

Artist