Mkimbiaji kupoteza Sh5.8 milioni na medali baada ya kupigwa marufuku kwa kutumia pufya – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on November 24, 2024
Emmaculate Anyango akishinda awamu ya tatu ya Riadha za Dunia za Sirikwa Classic World Cross Country Tour, 10km race eneo la Lobo Village, Kapseret, Kaunti ya Uasin Gishu mnamo Februari 03, 2024. PICHA| MAKTABA
MTIMKAJI Emmaculate Anyango anaenda kupoteza zawadi za thamani isiyopungua Sh5,895,000 kutokana na madhambi ya kutumia dawa za kusisimua misuli ambazo zimefanya ampigwe marufuku miaka sita.
Mshindi wa nishani ya fedha mbio za mita 3,000 kwenye Riadha za Afrika za chipukizi wasiozidi umri wa miaka 20 mwaka 2019 Anyango, 24, amepokea marufuku hiyo kutoka kwa Kitengo cha . . .