Mradi wa mbuzi wa maziwa unavyowafaa kina mama eneo kame – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on September 23, 2024
Mama mfugaji wa mbuzi katika Kaunti ya Laikipia akionyesha maziwa aliyokama. PICHA|RICHARD MAOSI
NI mchana, jua limeangaza miale yake na kwenye ziara ya Akilimali katika eneo la Umande, Kaunti ya Laikipia tunakutana na Julia Muthoni akilisha mbuzi wake wa maziwa.
Anasema zoezi la kuwakama humchukua takriban dakika 15 kila siku kabla ya kuzamia shughuli za siku.
Muthoni ni mmoja wa akina mama ambao wamekumbatia ufugaji wa mbuzi wa maziwa, ikizingatiwa kwamba sehemu kubwa ya eneo la Laikipia hushuhudia mvua kidogo kila mwaka.
Anasema huu ni mradi ambao alianzisha . . .