Nairobi City Stars yangurumia Gor na kudidimiza matumaini yao ya kutwaa KPL – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on May 15, 2025
Wachezaji wa Gor kuanzia kushoti Benson Omala, Austin Odhiambo,
Joshua Onyango na Sylvester Owino (kulia) wakisherehekea bao katika mechi ya KPL. PICHA|HISANI
GOR MAHIA Alhamisi ilipata pigo kwenye juhudi zake za kutetea taji la Ligi Kuu (KPL) baada ya kutandikwa 2-1 na Nairobi City Stars waliokuwa wakivuta mkia kwenye uga wa Dandora Nairobi.
Kwenye mechi nyingine iliyogaragazwa Alhamisi uwanja wa Dandora, Kariobangi Sharks ilishinda KCB 1-0 na kuendelea na juhudi za kukwepa shoka la kutimuliwa KPL.
Ugani Dandora, makosa ya kipa Gad Mathews yalitunuku City Stars bao la . . .