Ngome ya Raila yavuna vinono kwa kushirikiana na serikali – Taifa Leo

Written by on June 4, 2025

Rais William Ruto na Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga. PICHA|Hisani.

USHIRIKIANO kati ya Rais William Ruto na Kinara wa ODM Raila Odinga umefungulia eneo la Nyanza mifereji ya ustawi huku serikali ikiendelea na miradi ya maendeleo ambayo thamani yao ni Sh69 bilioni.

Kwa miaka mingi siasa za upinzani zimetenga eneo hilo kimaendeleo kwenye tawala zilizopita lakini kwa huu wa Kenya Kwanza, Nyanza inaendelea kutafuna vinono.

Tangu Bw Odinga na Rais Ruto wabuni Serikali Jumuishi mnamo Juni mwaka jana baada ya maandamano ya Gen Z, miradi mbalimbali imeanzisha Nyanza, eneo ambalo . . .



Current track

Title

Artist