Ni ukatili kuadhibu wanafunzi kwa kuwarushia vitoza machozi – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 11, 2025
Wanafunzi wa Butere Girls wakiondoka Melvin Jones Academy, Nakuru. Picha|Boniface Mwangi
JUMA hili, katika shule ya msingi ya Melvin Jones, Kaunti ya Nakuru, wanafunzi wa shule ya Upili ya Wasichana ya Butere walitua kuwasilisha mchezo wao wa kuigiza maarufu kama “Echoes of War”.
Wanafunzi hao walitarajiwa kuuwasilisha mchezo wao ukumbini saa mbili asubuhi, jambo walilopinga kutokana na sababu kuwa hawakuwa na mwelekezi wao na nyenzo za kutumia wakiigiza.
Badala yake, waliamua kuimba wimbo wa taifa, wakatulia kimya kwa muda wa dakika moja kisha wakaondoka ukumbini.
Hata hivyo, jambo . . .