Polisi wakome kuvamia wanahabari wa michezo viwanjani – Taifa Leo

Written by on April 30, 2025

Wanahabari mjini Nakuru wafanya maandamano kulaani kupigwa risasi kwa mwenzao wa runinga ya K24, Catherine Wanjeri. Picha|Maktaba

KATIKA siku za hivi karibuni, wanahabari wa michezo nchini wamevamiwa na maafisa wa polisi, jambo ambalo linafaa kuingiliwa kati kabla hali haijakuwa mbaya zaidi.

Kisa cha hivi karibuni kilitokea Jumapili iliyopita (Aprili 27, 2025), katika uwanja wa Dandora jijini Nairobi ambapo mpiga picha wa Nation Media Group (NMG) Chris Omollo alivamiwa na afisa wa polisi, alipokuwa akiingia uwanjani kupiga picha mechi kati ya Ligi Kuu ya Wanaume (KPL) kati ya Gor Mahia dhidi ya Mara . . .



Current track

Title

Artist