Presha ya Gen Z yazaa matunda, Ruto akitia saini mswada wa IEBC – Taifa Leo

Written by on July 9, 2024

Rais William Ruto akiwa na nakala ya mswada alioutia saini kupisha uteuzi wa makamishna wapya wa IEBC

RAIS William Ruto atia saini Mswada wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (uliorekebishwa)  wa 2024 kuwa sheria.

Dkt Ruto alitia saini mswada huo Jumanne katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (KICC) jijini Nairobi mbele ya viongozi wa upinzani Raila Odinga (Orange Democratic Movement), Kalonzo Musyoka (Wiper Party), Naibu Rais Rigathi Gachagua na viongozi wa Bunge la Kitaifa na Seneti.

Hatua hiyo sasa inapisha rasmi uteuzi wa jopo la uteuzi litakaloajiri makamishna . . .



Current track

Title

Artist