Raha Kampuni ikisafirisha mashabiki kwa mabasi ya umeme kutazama Kombe la UEFA – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on May 3, 2025
Moja kati ya mabasi ya umeme yaliyosafirisha mashabiki kutazama Kombe la UEFA, Sarit Center Westlands Jumamosi PICHA|HISANI
MASHABIKI wengi wa soka Jumamosi walijitokeza Duka la Sarit, mtaani Westlands Nairobi kutazama Kombe la Klabu Bingwa Ulaya (UEFA) huku timu zitakazoshiriki fainali zikitarajiwa kujulikana Jumanne na Jumatano.
Kenya ni kati ya mataifa matano Afrika ambayo kombe hilo limetua na limekuwa likizingushwa mataifa mbalimbali katika mabara mengine kwa muda wa mwezi moja uliopita.
Vietnam ndiyo ilikuwa nchi ya kwanza kupokea kombe hilo mnamo Aprili 7. Safari za kuzungusha taji hilo katika mataifa mbalimbali . . .