Raila agonganisha seneti na wabunge – Taifa Leo

Written by on May 25, 2025

Maseneta wakiwa kikaoni. Picha|Hisani

KATIKA jitihada zake za kutaka kudumisha rekodi yake kama mtetezi sugu wa ugatuzi, kiongozi la ODM Raila Odinga anaonekana kuendelea kuchochea zaidi vita vya ubabe kati ya Bunge la Kitaifa na Seneti na hivyo kuathiri utendakazi wa mabunge hayo.

Wiki hii, Bw Odinga alionekana kuwakera wabunge zaidi kwani mbali na kuendelea kampeni ya kutaka Hazina ya Ustawi wa Maeneo Bunge (NG-CDF) ipokonywe wabunge na kuwekwa chini ya usimamazi wa serikali za kaunti, sasa anapendekeza Seneti ipewe mamlaka zaidi.

Wadadisi wanaonya kwamba pendekezo kama hilo linapasa . . .



Current track

Title

Artist