Raila daima anajua kusoma nyakati, kutembea na majira – Taifa Leo

Written by on June 4, 2025

Kinara wa ODM Raila Odinga akiwasili kwa sherehe ya Madaraka Day, Juni Mosi, akiwa ameandamana na mkewe Mama Ida. Picha|Alex Odhiambo

SIJUI aitwe Baba, waziri mkuu wa zamani ama kiongozi wa ODM. Napata taabu kidogo kujua jina linalomwafiki mwanasiasa nguli Raila Odinga.

Baadhi ya wandani wake wanamuita msaliti kwa kukubali kufanya kazi na Serikali Jumuishi ya Rais William Ruto.

Wengine wanadhania amepigania watu kwa muda mrefu anastahili kivuli cha pumziko. Wapo wanaohisi ni mtu wa . . .



Current track

Title

Artist