Ruto anajitia kwenye tanuri la moto kisiasa kwa kuendelea kusuta kanisa – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on November 20, 2024
Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Philip Anyolo. Picha| Maktaba
RAIS William Ruto hafai kuendelea kulumbana na viongozi wa makanisa wakiwemo maaskofu wa Kanisa Katoliki ambao majuzi walijitokeza kwa ujasiri na kulaumu serikali yake kwa kufeli kuwajibikia ahadi zake kwa Wakenya na kufaulu katika vita hivyo.
Rais hana budi kubadilisha mbinu zake za utawala na mikakati yake katika juhudi za kutimiza ahadi zake badala ya kujitia katika tanuri la moto kisiasa kulumbana na maaskofu ambao si wanasiasa. Kile wanachotekeleza ni wajibu wao muhimu wa kufichua maovu serikalini.
Raia kwa sasa wamezongwa na . . .