Sababu za paka wa Kisiwani Lamu kunenepa – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 3, 2025
Paka mkubwa. PICHA|HISANI
MARA nyingi unapopita kwenye mitaa, vishoroba na baraste ya mbele ya mji wa Kale wa Lamu, utagundua kuwa paka wengi eneo hilo ni wanene na wenye afya nzuri ya mwili kwa jumla.
Kinyume na maeneo mengine ya nchi ambapo utampata paka, hasa wale wa kuzurura mitaani, akiwa amekonda na mwenye mtazamo wa kuhurumisha, paka wa kisiwani Lamu kwa upande mwingine wamebarikiwa na mwili wa kuvutia na unene wa kiasi cha haja.
Taifa Dijitali ilizama chini kutaka kujua hasa ni nini kinachopelekea mnyama paka kisiwani Lamu kuwa na . . .