Sababu zinazoweza kufanya mwanamke kukosa hedhi ilhali hana ujauzito – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on May 15, 2025
Mwanamke akiwa na sodo za hedhi. Kuna hali ambapo mwanamke anakosa kupata hedhi licha ya kwamba hana ujauzito. Picha|Maktaba
KUNA baadhi ya wanawake ambao wanaweza kukosa hedhi hata kufikia miezi mitatu au zaidi ilhali hawajashika mimba.
Iwapo unakumbwa na shida hii, ni vyema kuchunguza sababu zinazokufanya kukosa hedhi kwa muda huu wote licha ya kuwa wewe si mjamzito. Aidha, ni vyema kubaini chanzo.
Kuna sababu kadhaa zinazochangia kuchelewa au kupotea kwa hedhi licha ya kuwa . . .