Serikali ya Ruto inapalilia ufisadi kutoa barua za ajira kwa wanasiasa waipigie debe – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 3, 2025
Rais William Ruto wakati wa maadhimisho ya Jamhuri 2024, Uhuru Gardens, Nairobi. PICHA|HISANI
HABARI kwamba wanasiasa wanaounga serikali wanakabidhiwa nafasi za ajira ili kunufaisha watu wanaopenda kuipigia debe utawala wa sasa ni ufisadi wa hali ya juu.
Kwa hakika hatua hii inaonyesha jinsi maadili yetu yameoza na jinsi serikali inavyoendesha ufisadi na ubaguzi katika uajiri.
Ni ukiukaji wa haki, usawa na kanuni za uajiri za serikali na kutwaa majukumu ya idara na tume za serikali ambazo zinasimamia ajira ya watumishi wa umma.
Labda hii ndio sababu kuna mswada . . .