Sifuna atahitaji kulindwa na ODM kwa jinsi Rais alimnyanyukia kwa meno ya juu – Taifa Leo
Written by Black Hot Fire Network on April 15, 2025
Katibu Mkuu wa ODM Edwin Sifuna. Picha|Hisani
MWANDISHI mbobezi wa fasihi Shaaban bin Roberts katika riwaya yake pendwa ya Utubora Mkulima anamtaja Utubora kuwa mtu mwenye moyo jasiri, kifua cha ujasiri na kinywa fasaha.
Katibu mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna ana hizo sifa tukizingatia aliyosema katika mazishi ya aliyekuwa mlinzi wa muda mrefu wa Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga. Ama sijui tuseme kiongozi wa ODM.
La, pengine nimekosea, kuna serikali jumuishi. Inawezekana Raila ana cheo kikubwa kupita nilivyotaja.
Ninasema chama cha ODM kimlinde . . .